Taswira ya Upotoshaji Kwenye Mahusiano ya Waafrika na Waarabu

Waafrika na Waarabu: “Sisi Wazuri, nyinyi Waovu” au “Sisi Wazuri, na nyinyi Wazuri?” Wengi tumeshuhudia katika mitandao tarehe 16 Oktoba, 2019, vinyago vya kustaajabisha sana kwa mtu yoyote ambaye anao uwezo wa kutumia akili yake vizuri. Tumeona ya mtu mmoja kavaa mavazi ya Kiarabu/Kiomani na kumchukua mtu aliyevaa winda na minyororo kama mtumwa wake na […]

Read More…

“Kulikoni matumaini ya Zanzibar?”

Zanzibar yenyewe hivi ilivyo ni taifa lililodumaa. Haina maendeleo ya maana ambayo serikali inaweza kujivunia. Ilishangaza hivi karibuni kumsikia Rais wa Zanzibar , Dkt. Ali Mohamed Shein, akilalamika kwamba Zanzibar ikilingalishwa na jiji la Dar es Salaam iko nyuma sana hasa kwa miundombinu.

Read More…