Mzee Moyo azungumzia Maalim Seif kujiunga ACT-Wazalendo

“Nashukuru siku ile Maalim Seif anatangaza kuhamia chama chengine, mimi nilikuwa naangalia TV. Hivyo nikapata kumsikiliza kila alichokizungumza. Baada ya pale, kuna muandishi mmoja akanipigia simu kutaka nielezee na mimi mawazo yangu pengine kuwa nimeafikiana na uamuzi aliochukuwa Maalim Seif. Mimi siku zote napenda na huwa nasisitiza sana watu waachiwe waseme na wafanye wanachokipenda. Lakini kwangu, Maalim Seif ni mtu ‘flexible’ sijui utasemaje hapo, lakini Maalim ndivyo ninavyoweza kumuelezea. Na ndio mwanasiasa navyotakiwa awe. Maalim, hayumbi yumbi. Yeye aliona Mahakama imetoa favour kwa mtu aliyehama chama hivyo akaona yeye atafute eneo jengine la kufanyia siasa. Maalim mimi ni rafiki yangu na kwa vile nimesharudi Unguja basi karibuni nitaonana naye!” Kauli ya Mzee Hassan Nassor Moyo akizungumza na Weyani TV kuhusu mwenendo wa kisiasa visiwani Zanzibar. Mahojiano kamili yatarushwa kwenye YouTube Channel ya Weyani TV. Bonyeza youtbe.com/weyanitv.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.