Sasa Trump ataka mazungumzo na Iran

Rais Donald Trump wa Marekani ametaka mazungumzo na viongozi wa Iran, katika wakati huu ambapo mvutano baina yao unazidi kupamba moto baada ya Trump kuiondoa nchi yake kwenye makubaliano ya nyuklia na taifa hilo la Kiislamu.

Trump amewaambia waandishi wa habari katika ikulu ya White House kuwa yuko tayari kwa mazungumzo na angetaka viongozi wa Iran kumtafuta.

Kauli hiyo ya Trump inakuja ikiwa ni siku chache baada ya kupeleka ndege za kivita na silaha nyingine zenye uwezo wa kufyatua makombora ya nyuklia katika eneo la Mashariki ya Kati, ikisema ina taarifa kuwa kuna mipango ya mashambulizi yatakayoungwa mkono na Iran.

Hata hivyo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo, amesisitiza kuwa Marekani haipo tayari kwa vita.

Chanzo: DW Swahili

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.