Rais wa Gambia Adama Barrow asema huenda asiganduke katika uongozi baada ya miaka mitatu

Mnamo 2016, raia nchini Gambia waliouonyesha ulimwengu nguvu ya demokrasia wakati walipomtimua rais Yahya Jammeh kupitia uchaguzi.

Sasa kuna wasiwasi kuwa rais mpya nchini humo Adama Barrow, huenda pia akajaribu kung’angania uongozi. Ameiambia BBC Africa Eye hatotii makubaliano ya kujiuzulu baada ya miaka mitatu na anafikiria kushiriki katika uchaguzi ujao.

chanzo: BBC Africa Eye

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.