Category Archives: Kimataifa

Alexis Sanchez asalia Man U hata baada ya vitisho vya kuwekwa mchezaji wa akiba

Alexis Sanchez anakataa kuondoka Manchester United msimu huu, pamoja na kwamba kocha Ole Gunnar Solskjaer kutishia kumfanya kuwa mchezaji wa akiba ikiwa atasalia na timu hiyo. Roma inatafuta wachezaji wengine. (Sun)

Hatahivyo, timu ya Serie A, AC Milan, Juventus na Napoli bado wana mpango wa kumsajili mshambuliaji wa Chile, 30. (Mail)

Read more
« Older Entries