Kobe Bryant aaga dunia

Bryant alikuwa mchezaji wa kwanza mpira wa kikapu nchini Marekani kutunukiwa tuzo ya filamu ya Academy Award mwaka 2018 kwa filamu fupi ya michoro iitwayo “Dear Basketball”.

Mchezaji bingwa wa ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani (NBA), Kobe Bryant, amefariki dunia baada ya helikopta aliyokuwa akisafiria kuanguka Los Angeles. Continue reading “Kobe Bryant aaga dunia”

Virgil van Dijk ajinyakulia taji la mchezaji bora Ulaya

Hatimae Virgil van Dijk awabwaga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo. Enzi za Cristiano Ronaldo na Lionel Messi za kutawala tuzo za mpira zinaendelea kusukumwa ukingoni.

Continue reading “Virgil van Dijk ajinyakulia taji la mchezaji bora Ulaya”