Wanafunzi Tanzania wavumbua ATM ya taulo za kike

Hii ni ATM kama ya fedha zinazotumika na Benki mbalimbali, lakini hii si ya fedha bali ya taulo za kike ama pedi za akina dada. ATM hii itafungwa vyooni kwenye shule, ofisini, kwenye masoko ama kwenye saluni za kike, na ili kuitambua mahali ilipo inatumia App maalum katika simu. David Msemwa, ni mmoja kati ya […]

Read More…