Mamia ya waandamanaji kushindikiza kuachiwa kwa ndege ya Air Tanzania

Zaidi ya watu 100 jijini Dar es Salaam wameandamana mpaka ubalozi wa Afrika Kusini wakishinikiza kuachiwa kwa ndege ya Air Tanzania inayozuiliwa jijini Johannesburg.

Continue reading “Mamia ya waandamanaji kushindikiza kuachiwa kwa ndege ya Air Tanzania”

Rais Magufuli akabidhiwa Uenyekiti wa nchi za jumuiya ya SADCRais wa Tanzania John Pombe Magufuli leo amekabidhiwa Uenyekiti wa nchi za jumuia ya maendeleo kusini mwa Afrika SADC. Magufuli amempokea Rais wa Namibia Dk.Hage Geingob alioutumikia wadhfa huo kwa muda wa mwaka mmoja.

Continue reading “Rais Magufuli akabidhiwa Uenyekiti wa nchi za jumuiya ya SADC”

Tanzania na Afrika Kusini kuimarisha mahusiano ya kibiashara

Rais John Pombe Magufuli na Cyril Ramaphosa wako Tanzania hii leo wametangaza kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kirafiki baina ya mataifa hayo mawili wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika, SADC.

Continue reading “Tanzania na Afrika Kusini kuimarisha mahusiano ya kibiashara”