
ACT yaadhimisha miaka 5 kwa wito wa umoja wa wapinzani
Chama cha upinzani cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania kimeadhimisha hivi leo miaka mitano tangu kupata usajili wa kudumu kwa kutoa wito wa kuundwa kwa umoja mkubwa kabisa wa upinzani ili kukiondowa chama tawala, CCM, madarakani.
Read More…