Madaktari wapambania afya za majruhi wa ajali ya Morogoro

Majeruhi 13 wa ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro nchini Tanzania kufuatia kulipuka kwa gari la mafuta, wanaendelea na matibabu katika hospital ya Taifa Muhimbili na wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa kurekebisha maumbo na viungo vyao.

Continue reading “Madaktari wapambania afya za majruhi wa ajali ya Morogoro”

Mlipuko mwingine wa lori la mafuta waua 18

Siku chache baada ya ajali kubwa ya mlipuko wa moto wa gari la mafuta kutokea mkoani Morogoro nchini Tanzania na kuua watu zaidi ya 80, tukio linalofanana na hilohilo limetokea nchini Uganda na kuua watu 18.

Continue reading “Mlipuko mwingine wa lori la mafuta waua 18”