Matumaini mapya kwa Sudan baada ya Waziri Mkuu kuteuliwa

Abdalla Hamdok addresses the media following his swearing in at the presidential palace in Khartoum, Sudan, 21 August 2019
Image captionAbdalla Hamdok alikuwa anafanya kazi Umoja wa mataifa

Sudan imemteua Waziri Mkuu mpya ikiwa nchi hiyo ikiwa kwenye utawala wa mpito wa miaka mitatu chini ya uongozi wa jeshi .

Continue reading “Matumaini mapya kwa Sudan baada ya Waziri Mkuu kuteuliwa”

Sudan Kusini: Marufuku wimbo wa taifa kuimbwa bila uwepo wa Rais Salva Kiir

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amepiga marufuku mtu yeyote kuimba wimbo wa taifa bila uwepo wake, amesema waziri wa habari Michael Makuei ambaye pia ni msemaji wa serikali.

Continue reading “Sudan Kusini: Marufuku wimbo wa taifa kuimbwa bila uwepo wa Rais Salva Kiir”