Ukatili wa mashambulio ya Tindikali

Unaposikia taarifa kuhusu hujuma za Acid… yaani watu kumuwagiwa tindikali usoni au Mwili mara nyingi ukatili huu huhusishwa na bara Asia. Hata hivyo kuna visa vingi vya watu kushambuliwa kwa tindikali ambavyo vinaripotiwa miongoni mwa nchi za Afrika Mashariki.

Continue reading “Ukatili wa mashambulio ya Tindikali”

Mlipuko mwingine wa lori la mafuta waua 18

Siku chache baada ya ajali kubwa ya mlipuko wa moto wa gari la mafuta kutokea mkoani Morogoro nchini Tanzania na kuua watu zaidi ya 80, tukio linalofanana na hilohilo limetokea nchini Uganda na kuua watu 18.

Continue reading “Mlipuko mwingine wa lori la mafuta waua 18”

wanafuzi zaidi ya 30 washikwa na 50 kulazwa hospitali baada yakumpigania mwanafunzi wa kike

Wanafunzi wapatao 50 wa shule ya sekondari katika wilaya ya mbale Mbale magharibi mwa Uganda wamelazwa hospitalini baada ya kuvuta hewa ya gesi za kutoa machozi, limeripoti gazeti la kibinafsi nchini humo, The monitor.

Continue reading “wanafuzi zaidi ya 30 washikwa na 50 kulazwa hospitali baada yakumpigania mwanafunzi wa kike”