Wahamiaji 150 wahofiwa kufa baada ya boti kuzama Libya

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia wakimbizi, UNHCR pamoja na walinzi wa pwani nchini Libya wamesema miongoni mwa wahamiaji hao ambao wanahofiwa wamekufa maji ni pamoja na wanawake na watoto.

Continue reading “Wahamiaji 150 wahofiwa kufa baada ya boti kuzama Libya”