Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold Changa la Macho

Licha ya makubaliano haya ya hovyo na yasiyo na tija, Serikali yetu imetoa ‘waiver’ (msamaha) kwa Barrick kutoorodhesha hisa kwenye Soko la Hisa la Tanzania. Sheria ya Madini ya mwaka 2010 (Wakati wa Waziri William Ngeleja) na Kanuni zake iliweka sharti kwamba ni lazima makampuni ya madini yauze 30% ya hisa kwa Watanzania kwenye soko la Hisa la Tanzania.

Read More…

Shahidi: Nampenda Zitto, namwamini

SHAHIDI wa Jamhuri Mashaka Duma katika kesi ya uchochezi inayomkabili, Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, amedai yeye ni shabiki mzuri wa mwanasiasa huyo,  anampenda, anaposikia sauti yake anafurahi na anafurahi anapomwona kwenye Televisheni.

Read More…

Mafuta yanayoendesha uchumi Tanzania yamechakachuliwa

‪Nimemsikia Rais John Magufuli akisema pale Mbeya kuwa uchumi wetu bado unakua kwa 7%. Pia nimeona ‘Jeshi la Watetezi wa Mambo ya Hovyo (JWMH)’, likiongozwa na Bwana Mwigulu Nchemba, likirudia maneno hayo kama kasuku bila kujuwa kuwa Shirika la Fedha Duniani (IMF) ndiyo mamlaka pekee ya dunia ya masuala ya uchunguzi wa uchumi (economic surveillance). […]

Read More…